Thursday, July 5, 2012

mavazi ya mwanamke mjamzito(suitable dresses for pregnancy)

                           Mavazi yanayomfaa mwanamke mwenyemimba          
                             (suitable dresses for pregnancy )


Wanawake wajawazito wanapaswa kutunza mimba tangu hatua za mwanzo za utungaji mimba mpaka wakati wa kujifungua.Ilikulinda afya ya mama na mtoto nimuhimu wanawake wazingatie hili



 Mavazi yanayompasa mwanamke mjamzito ni kama vile nguo na viatu niyale ambayo yameandaliwa maalumu kwa kina mama wajawazito, mfano madela,namagauni mapana yasio bana tumbo lake.
kwa wale wanaopendelea kaptula na suruali wanapaswa kuvaa zile ambazo ni pana zisikaze tumbo kabisa.


Athari anazoweza kupata mjamzito anayebana tumbo lake ni kuharibika kwa mimba ambayo huweza kusababisha vifo.
 kwaupande wa viatu mwanamke mjamzito hatakiwi kuvaa viatu vyenye kisiginokirefu ambavyo vinaweza kuhatarisha usalama wamwananke.
yapomazoezi maalumu kwa wanawake wenye mimba,nimuhimu kufanya mazoezi kabla yakubeba mimba na baada ya kujifungua hii inasaidia kutunza umbo lako.
.  

No comments:

Post a Comment