Mavazi yanayomfaa mwanamke mwenyemimba
(suitable dresses for pregnancy )
Mavazi
yanayompasa mwanamke mjamzito ni kama vile nguo na viatu niyale ambayo
yameandaliwa maalumu kwa kina mama wajawazito, mfano madela,namagauni
mapana yasio bana tumbo lake.
kwa wale wanaopendelea kaptula na suruali wanapaswa kuvaa zile ambazo ni pana zisikaze tumbo kabisa.
Athari anazoweza kupata mjamzito anayebana tumbo lake ni kuharibika kwa mimba ambayo huweza kusababisha vifo.
kwaupande
wa viatu mwanamke mjamzito hatakiwi kuvaa viatu vyenye kisiginokirefu
ambavyo vinaweza kuhatarisha usalama wamwananke.
yapomazoezi
maalumu kwa wanawake wenye mimba,nimuhimu kufanya mazoezi kabla
yakubeba mimba na baada ya kujifungua hii inasaidia kutunza umbo lako.
.
No comments:
Post a Comment